- Nimepokea “Tangazo la Nia ya Kusitisha” hadhi yangu ya ukimbizi. Hii inamaanisha nini?
- Nina hadhi ya mkimbizi nchini Marekani. Ninawezaje kuomba kadi ya kijani?
- Ninawezaje kujiandaa kwa usaili wangu wa uhakiki wa hadhi ya mkimbizi?
- “Ukaguzi upya wa kesi za wakimbizi” ni nini?
- Nina hadhi ya mkimbizi nchini Marekani. Nifanye nini ikiwa nitashikiliwa na ICE?
- Mimi ninaishi Marekani na nina hadhi ya kimbizi. Nini ni muhimu nijue?